Kufuatia uwepo wa taarifa zilizozua taharuki katika mitandao ya kijamii juu ya vifo vya watu wa familia moja wanaosadikika kupoteza maisha huku chanzo ikidaiwa kuwa ni Ebora Mkoani Kagera,Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila anatoa ufafanuzi zaidi juu ya taarifa hizo.