Ni April 10, 2013 ambapo kampuni ya GSM wakiongozwa na Mkurugenzi wao Ghalib Said Mohamed walifika Nyamisati Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani katika Shule ya Wama Nakayama kwaajili ya kutoa misaada kwa watoto wenye uhitaji.
Hizi ni baadhi ya picha ushuhudie namna zoezi hili lilivyofanyika.