Moja ya video ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii ni hii ambayo inakuonyesha mwandishi wa Habari Dotto Kadoshi akiizuia gari isiondoke baada ya kudaiwa kuwa imewabeba mifugo aina ya kuku juu ya gari hiyo bila kufuata haki za wanyama
Ayo TV na Millardayo.com imezungumza na mwandishi huyo nakusema alifanya hivyo kama raia mwema kaa lengo lakuzuia ukatili kwa wanyama.