Kama bado haujaona picha na video za behind the scene wakati Shaa anarekodi video ya wimbo huu basi utaziona hapa. Wimbo unaitwa Subira ukiwa ni wa pili tangu aanza kufanya kazi na Mkubwa na wanae baada ya kutoa Sugua gaga. Kuanzia tarehe 29/6 zitakuwa zimebaki siku 5 hadi Shaa atoe wimbo huo mpya.
Zaidi ya wimbo amesha rekodi video ya wimbo huo. Ukitaka kuona picha za behind the scene walivyokuwa wanarekodi bonyeza HAPA
Hii ni video ya behind the scene akishoot video yenyewe