Mara chache hutokea ripoti za Wanawake walioolewa na mume mmoja kuelewana lakini asilimia kubwa hua wanaonekana kuwa na uhasama huku sababu kubwa ikiwa haijulikani.
Idara ya Hekaheka July 07 inashuka na stori kuhusu wake wenza ambapo inshu inasemekana ipo kwa mke mdogo lakini mke mkubwa anamthamini mke mdogo sana,msikilize Gea Habibu akisimulia.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Bonyeza play kusikiliza.