Baada ya kuwashuhudia wadogo zake Peter na Paul wakifunga ndoa hatimaye Jude Okoye ameamua kufunga ndoa na mchumba wake Ifeoma Umeokeke ambaye ameshamvisha pete ya uchumba.
Wawili hawa walichumbiana April 24 baada ya kuwa na mahusiano kwa muda kidogo. Ndoa yao itakuwa terehe 17 mwezi wa saba na itafanyika Nnewi.
Baada ya wadogo zake, kaka yao P Square kumuoa huyu mwanamke
Leave a comment
Leave a comment