Kuna hii ripoti mpya ya utafiti uliofanywa Kenya na Medico legal unit ambalo ni shirika la kijamii linaloonyesha wasiwasi wake kutokana na mashambulizi mengi yanayofanywa kwa raia wasio na hatia.
Wanasema kwenye huo utafiti, wamegindua raia masikini wasio na hatia wamekua wakiuwawa kwa risasi na polisi kwa kasi ya zaidi ya wanavyouwawa Majambazi.
Wanakwambia ni watu 160 ambao walipigwa risasi na Polisi kuanzia January – July 2014 na kwamba asilimia 60 ya miili 1863 iliyopelekwa chumba cha kuhifadhi maiti ilikua na majeraha ya risasi.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB