AyoTV

Umeiona video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’ ? imeshatoka tayari na iko hapa

on

Screen Shot 2014-08-29 at 8.06.48 AMMiongoni mwa wanamuziki Tanzania ambao tangu wanaanza kusikika walikua na style ya kuwataja watu moja kwa moja ‘kuwachana live’ Nay wa Mitego ambaye toka wimbo wake wa Itafahamika hadi huu Mr Nay amekua akiwataja.

Baada ya kutoka kwa wimbo huu upande wa audio miezi michache iliyopita ameamua kuachia video yake ambayo kaifanya Kenya na Director wa video hii anaitwa Kevin Bosco Jnr.

Baada ya kuitazama unaweza kuacha maoni yako kwenye comment hapa chini ili jioni akipita asome watu wake walichosema.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana iwapo utakua umejiunga na mimi kwa kubonyeza hapa >>> twitter Insta FB

Tupia Comments