Toka miss Tanzania atangazwe tarehe 11 Mwezi oktoba 2014, shutuma nyingi zimekua zikimuandama ambapo maswali mengi yameulizwa ikiwemo shutuma ya kwamba ameongopa umri wake, kiwango chake cha elimu, na pia kukazuka uvumi mwingine ya kwamba ana mtoto.
Ametumia takribani dakika 2 na sekunde 15 kujibu shutuma zote zinazomkabili.
Bonyeza hapa kumsikiliza.