Nimekuwa nikikuwekea U Heard kila siku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, leo nimekuwekea pia hapa.
Inahusu msanii Lulu ambaye kwa mujibu wa sauti ambayo imerekodiwa wakati mazungumzo hayo yanaendelea ni kwamba Lulu alikuwa akishauriwa na wenzake kwamba asikubali kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii Nash Designer wakimshutuu kwamba msanii huyo tayari ana mtoto na ana mpenzi wake tayari.
Mwisho wa mazungumzo yao ni kama kulikuwa na mtafaruku baada ya kuonekana Lulu hakukubaliana na mawazo ya rafiki zake kwamba aikubali kuwa na uhusiano na Nash huku wengine wakitishia urafiki wao kufika mwisho.
Gossip Cop amesema atamtafuta Nash Designer siku ya kesho ili atoe majibu ya shutuma hizo.
Unaweza kuisikiliza U Heard hiyo hapa.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook