Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo.
Kwa hiyo tunaenda kumsikiliza mwenyekiti wa CCM Taifa na sio Rais wa Tanzania. Swali ni kama fedha za umma zimetumika kuandaa haya.
— Zitto Ruyagwa Kabwe (@zittokabwe) December 22, 2014
Uchaguzi Serikali za Mitaa jana, Mabibo Mtaa A Jitegemee CCM558 CHADEMA1014; UKAWA kupitia Mseto wa Mwenyekiti wa CUF na wajumbe CHADEMA
— MNYIKA John John (@jjmnyika) December 22, 2014
Baada uongo nilipeleka mabilioni Dodoma pia eti nina mpango wa kuangusha serikali kama Rais Kikwete hakuwa mwema na mcha Mungu ningekwisha
— Reginald Mengi (@regmengi) December 20, 2014
Mwaka 1998 Tanesco na Iptl walifikishana ICSIC – Kituo cha usuluhishi wa migogoro ya kibiashara, London. kutokana na kutoelewana juu ya tozo
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 22, 2014
Baada ya Maamuzi ya ICSIC kuwa IPTL ipunguze tozo kwa kiasi cha Dola Bilion Moja, Tanesco ikaona msingi wa kutoa hukumu hiyo haukuwa sahihi.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 22, 2014
Siku Mahakama ilipoamuru akaunti ya ESCROW ifungwe, kulikuwa na jumla ya sh. bilioni 202.9 na wala sio 306 kama ilivyosambazwa.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 22, 2014
Akaunti ya Escrow ni akaunti maalum, inayofungulia kwa sababu maalum, ikiendeshwa kwa masharti maalum na kwa wakati maalum.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 22, 2014
Kimsingi Fedha zilizokuwepo kwenye akaunti ni Mali ya IPTL, kwani zilikuwa zinalipwa na Tanesco kama tozo ya kutumia Umeme wa IPTL.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 22, 2014
CCM hakitetei wezi na wala rushwa. Wabunge wengi ktk tume ya PAC na kamati ya maridhiano ni CCM, hivyo maazimio ya bunge yanatokana na CCM.
— Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) December 22, 2014
JK: Bodi ya TANESCo ni kama imejivunja yenyewe, muda wake umekwisha kwa hiyo imevunjika. Muda wowote kuanzia sasa itatangazwa Bodi mpya.
— millardayo.com (@millardayo) December 22, 2014
JK: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini suala lake litashughulikiwa na Tume ya Maadili. Ikibainika ana makosa atawajibishwa.
— millardayo.com (@millardayo) December 22, 2014
JK: Naipongeza Kamati ya PAC kwa kazi nzuri, nampongeza Mwenyekiti wa Kamati hiyo @zittokabwe na Makamu wake Deo Filikunjombe.
— millardayo.com (@millardayo) December 22, 2014
JK: Fedha za kwenye akaunti ya Escrow sio za TANESCo,hazikupaswa kuingizwa kwenye vitabu vya TANESCo kama mali yake, hivyo sio pesa za umma.
— millardayo.com (@millardayo) December 22, 2014
“A good leader takes a little more than his share of the blame, a little less than his share of the credit ” Glasow.. pic.twitter.com/gslMxtRouk
— Ridhiwani Kikwete (@ridhiwankikwete) December 22, 2014
“Katika ukaguzi wa fedha za tanesco mwaka 2012, mkaguzi mkuu aliagiza kuwa Tanesco wasihesabu hela za Escrow kama fedha zao” JK
— Ridhiwani Kikwete (@ridhiwankikwete) December 22, 2014
Ukitoka huko unakotoka saa hizi ukamuulize ma mkubwa ‘eti mama,unashabikia United au Asnoo?’,utakutana na……. pic.twitter.com/jiIemBsunp
— Hamis Mwinjuma (@MwanaFA) December 22, 2014
Tibaijuka Out, Pesa zetu je!?
— Batuli_Actress (@Batuli223) December 22, 2014
Facebook
CloudsFM: STEPS WASHUSHA BEI ZA FILAMU ZA KIBONGO, KUUZWA SHS 1,500,WASANII WALALAMIKA
Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini “Steps Entertainment” wameshusha bei ya filamu hadi kufikia shilingi 1,500 kwa nakala moja ili kujaribu kupambana na waharamia wa kazi za wasanii,baadhi ya wasanii wameilalamika kampuni hiyo kwani kwa kufanya hivyo ni kuwanyonya wasanii na kazi zao.
Blog:Saleh Jembe
EXCLUSIVE: YANGA KUANZA KOMBE LA SHIRIKISHO NA TIMU YA JESHI BOTSWANA
Yanga itaanza kampeni yake ya Kombe la Shirikisho kwa kuivaa BDF IX ya Botswana inayomilikiwa na Jeshi la nchi hiyo.
Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limetangaza ratiba ya michuano hiyo.
Yanga itaanzia nyumbani na kumalizia ugenini dhidi ya Waswana hao waliowahi kung’olewa na Simba.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook