Video ya hit song Touch Me ya Ambwene Yessaya aka A.Y aliyowashirikisha Sean Kingston na Ms Triniti tayari imepitishwa kuoneshwa kwenye kituo kikubwa cha TV Channel O ambacho hucheza videos zenye ubora wa kimataifa.
Leo Dec 23 A.Y amehabarisha kupitia twitter kuhusu video yake kuanza kupata airtime kwenye kituo cha channel O.
Touch Me @ChannelOAfrica RESPECT pic.twitter.com/aMDdM7DL4Y
— Ambwene AY (@AyTanzania) December 23, 2014
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook