millardayo.com inakutakia heri ya Sikukuu ya Christmas leo December 25, wapo mastaa ma watu mbalimbali T’zania ambao wao pia walikutakia sikukuu njema.
Hizi ni baadhi ya Tweet zao kukutakia Sikukuu njema.
Merry Christmas to you all….
— Flaviana Matata (@FlavianaMatata) December 25, 2014
You were born very special because God truly loves you. If you truly love HIM too,HE will reward you with best of everything. Merry Xmas — Reginald Mengi (@regmengi) December 25, 2014
Merry Christmas dear twitfam. .much love team #ChangeTanzania. .Kheri na baraka ya Noeli wapendwa pic.twitter.com/QPK3uRdgEz — Maria Sarungi Tsehai (@MariaSTsehai) December 24, 2014
My fellow Tanzanians, family and friends across the world, I wish you a blessed Christmas and a New Year filled… http://t.co/mb6iz9Ysl6 — Zitto Ruyagwa Kabwe (@zittokabwe) December 24, 2014
TL Ya Insta Imejaa Snow Za Kadi Za Krismasi Hadi Naskia Baridi… Enewei, Merry Christmas Rafiki! Take Care. ❤️ — Salama Mariam Jabir (@EceJay) December 25, 2014
MERRY CHRISTMASS BEAUTIFUL PEOPLE. Hizo pilau nialikwe na mimi sasa dah, maana ndo ishakua tabu kunusa kwa jirani tu. pic.twitter.com/eO0pcMsRws
— Idris Sultan (@IdrisSultan) December 25, 2014