Surprise ya zawadi ni kitu kizuri sana, ila kuna ambao hawapendi kushtushwa na kitu chochote, haijalishi ni kizuri au kibaya!
Mtoto alikuwa anaingia zake toka shule kakutana na zawadi aliyoletewa na mama yake, akashindwa kuizuia furaha yake kajikuta analia kwa uchungu huku akishukuru kupokea zawadi hiyo ya mbwa mdogo kutoka kwa mama yake.
Iko hapa video ya mtoto huyo.
https://www.youtube.com/watch?v=27RqB_rCtOs
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook