Story iliyosikika kwenye U Heard ya leo February 18, inahusu ishu ambayo inasemekana kumekuwa na malumbano kupitia mitandao ya kijamii kati ya wake wawili wa Mzee Yusuf.
Soudy Brown amezungumza na Mzee Yusuf ambaye amesema kuwa wivu ni jambo zuri ila ukizidi unakuwa dhambi na wake zake wanajua kwa hiyo hawana wivu na kama wanatambiana kwenye mitandao yeye hana tatizo na hilo.
Mzee Yusuf amesema ana mpango kwenda Pemba kuongeza mke mwingine.
Sikiliza U Heard yote hapa kwa kubonyeza play.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook