NI Mkali kutokea Bongo Fleva huyu si mwingine ni 20 Percent ambae leo anamiliki vichwa vya habari baada ya kutoa burudani ya nguvu katika uwanja wa Uhuru kisha akamtambulisha mkewe mbele ya mashabiki zake.
Msanii huyo baada ya kumaliza show hiyo alizungumza na waandishi wa havari na kusema ‘Ni Vizuri mtu kukutana na watu wake kwahiyo nimejisikia vizuri sana na kumtambulisha mkewe ni jambo zuri kwani wengi walimuua kwenye kuigiza kwahiyo nikaona ni jambo tema kupanda nae jukwaani’- 20 Percent
RAIS MAGUFULI ALIVYOPIGA SIMU UWANJA WA UHURU, AZUNGUMZA NA WATANZANIA TAZAMA HAPA