Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Abdul Nondo ambae alitakiwa na Idara ya uhamiaji kupeleka vyeti vyake vya kuzaliwa pamoja na vya Wazazi na Babu na Bibi ameongea na Waandishi wa Habari kuhusu kinachoendelea kwa sasa, mtazame kwenye hii video hapa chini
TAARIFA YA CHADEMA KUHUSU LISSU KURUDI TANZANIA HIVI KARIBUNI