AyoTV

RC Geita kafunguka kwa Wanaume “Heshima ya Mwanaume sio kuvaa”

on

Mkuu wa mkoa wa Geita mhandisi Robert Gabriel amewataka wazazi na walezi mkoani humo kuwatunza watoto wa kike na amewakumbusha wanaume majukumu yao

Akiwa katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika RC Gabriel amewaambia wambia wanaume “Heshima ya mwanaume sio kuvaa na kuweka heshima bar ni kutoa mafunzo kwa mtoto, kwahyo mwanamke sio mtumishi wa mwanaume na mwannaume bila mwanamke umepotea” RC GEITA

LIVE MAGAZETI: Ubakaji watoto watisha, Undani siku 17 kitanzi cha mifuko ya plastiki

Soma na hizi

Tupia Comments