Aslay ni miongoni mwa wasanii wenye nyimbo zinazowavutia mashabiki wengi na kuzishika kitu kinachompa urahisi wa yeye kutoa Burudani pindi anapokuwa Jukwaani, sasa zamu hii ni ya MBEYA na hichi ndicho alichokifanya Fiesta CLASSIC MBEYA…
Bonyeza PLAY hapa chini Kutazama…
SHANGWE la Ommy Dimpoz Fiesta Classic MBEYA