Simba Dume kutoka Morogoro Afande Sele hakutajwa kwenye orodha ya kutumbuiza kwenye Tamasha la FIESTA Dar es salaam 2017 lakini alipanda kwa suprise, tazama kwenye hii video hapa chini ilivyokua.
VIDEO: WASANII WALIVYOINGIA KWA MKWARA FIESTA LEADERS, TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI