Msanii wa BongoFleva Snura amezungumza na kuelezea kuhusu kufungiwa kwa mara ya pili kwa wimbo wake wa ‘chura’ na kufungiwa wimbo wake wa ‘nimevurugwa’ na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA)
“Wakati nafungiwa chura niliandikiwa barau kuwa nahitaji, ila hii sikuitwa wala sikupewa taarifa, Siwaelewi BASATA na nashangaa sijui wanataka nini na nini hawataki, kwa hiki kilichotokea kinanipa mkanganyiko” – SNURA
FULL STORY: SAFARI YA WASTARA INDIA, AELEZA ALICHOPIGWA MARUFUKU NA MADAKTARI