Mix

PICHA 13: Jengo jipya la Uwanja wa Ndege Dar es Salaam (+Nukuu)

on

Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo June 30, 2017 ametembelea na kukagua ujenzi wa Jengo jipya (Terminal 3) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalim Julius Kambarage Nyerere, DSM.

Tunatarajia kuwa ifikapo September, 2018 ujenzi wa jengo hili utakamilika na litakapoanza kutumika litakuwa na uwezo wa kuhudumia takribani abiria Milioni sita kwa mwaka ambapo kwa jumla jengo hili jipya na la zamani yatahudumia abiria milion nane na nusu kwa mwaka.” – Prof. Makame Mbarawa.

Ziara ya Waziri Mbarawa kwenye ujenzi wa jengo jipya la uwanja wa ndege DSM 

Soma na hizi

Tupia Comments