Ukisafiri kwa basi kuna vitu vingi unaenjoy kuviona njiani, kama unatoka Dar kwenda Iringa najua kwenye vitakavyokuvutia njiani iko pia mbunga ya Wanyama Mikumi… utaona kingine ni milima, misitu.. vyote vinavutia kwenye safari yako, kwenye ndege ni tofauti, safari ikianza ni ndege na anga, vitu vingine utaviona wakati wa kupaa na kutua kwa ndege.
Sasa kuna hii iliyonifikia, vimetajwa Viwanja vya Ndege ambavyo vina mvuto zaidi na vinaonekana vizuri wakati ndege inapaa na wakati ndege inatua.
Kwenye orodha hiyo upo uwanja wa Queenstown Airport uliyopo New Zealand, uwanja wa McCarran Airport uliopo Las Vegas Marekani na uwanja wa Nice Cote D’Azur Airport uliopo Ufaransa. Africa je? Yes, kipo kimoja mtu wangu.
Hivyo kumi vyote viko hapa mtu wangu, unaweza kushuka huku unacheki kimoja baada ya kingine.










PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos