Baada ya Muna Love kuzungumza kile alichokiita ndo ukweli wa moyo ambacho hakuweza kusubiri muda upite ndio aongee kuhusu Baba wa Marehemu mtoto wake na ishu nzima ya mazishi ilivyokuwa, Mchekeshaji Joti na Mwigizaji Irene Paul wamezungumza hilo sakata ikiwemo maamuzi ya Shilole kumbwatukia Muna, bonyeza play hapa chini kuwatazama
“Sijawahi kuona mwanamke mwenye roho ngumu kama Muna”-Shilole
MUNA AANIKA KILA KITU “Casto alikataa mimba ikiwa na wiki mbili”