Watu watano ambao ni watumishi wa Shirika la Reli wamefariki dunia katika ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na kiberenge katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda.
Ajali hiyo imetokea jana na majeruhi mmoja anaendelea na matibabu katika hospitali ya Wilaya Korogwe.