Ajali

Mbunge John Heche anusurika kwenye ajali

on

Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amepata ajali maeneo ya Mikese Morogoro akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam, millardayo.com na Ayo TV  imempata Mbunge John Heche na amezungumzia ajali hiyo……..

>>>’Tumetoka salama tumepata ajali ya kugongana na gari ndogo ambayo ilikuwa inatoka uelekeo wa Dar es salaam kwenda Morogogo tulipokaribiana kama mita 50 wakageuka katikati ya barabara kuu na sisi kwa sababu tulikuwa spidi kama 100 na kitu tukaingia kwenye hiyo gari kwa nyuma, tunashukuru Mungu hakuna aliyeumia ni uharibifu tu wa gari’

VIDEO: Ajali ya basi na Lori Kimara Dar, yote yateketea baada ya ajali October 30 

Soma na hizi

Tupia Comments