Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’ ambayo imefanyika Cape Town South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka chini ya mkataba na Sony Music aliousaini leo May 19 2016 Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie comment yako ili akipita hapa na timu yake wajue watu wanasemaje
ULIIKOSA SHOW YA LIVE YA ALIKIBA ALIKOWAITA PIA JOKATE NA WEMA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI