Michael Mlingwa maarufu kama MX Carter ambaye amekuwa akisimamia wasanii wa Bongofleva ametaja list ya wasanii anaowasimamia kwa mwaka huu 2018 huku akimtaja Shilole kama ndiyo msanii wake aliyeingiza fedha nyingi kupitia madili aliyopata mwaka huu huku ikiwa kima cha chini kikiwa ni kuanzia Million 50 na kima cha juu kikifika mpaka Million 150.
Tazama Video hiyo kwa kubonyeza PLAY hapa chini.
EXCLUSIVE: AY kafunguka mengine usiyoyajua kuhusu nyumba na Uraia wa Marekani