Mix

Ujumbe wa Waziri Kigwangalla kwa Mwana FA baada ya simu ya JPM

on

Baada ya Rais Magufuli kumpigia simu Mwana FA kumpongeza kuhusu single yake Dume Suruali, leo April 14, 2017 Naibu Waziri wa Afya Dr. Kigwangalla kupitia account yake ya Twitter amempongeza staa huyo kwa wimbo wake huo uliomgusa hadi Rais.

Dr. Kigwangalla amemtaka Mwana FA aendelee kufanya vizuri AKISEMA:>>>”Hongera somo kwa kumgusa Rais wetu na mistari yako maridhawa iliyosimama! Endelea kung’aa mwanetu” – Dr. Kigwangalla.

VIDEO: Harmorapa amezungumzia lugha kwenye collabo na msanii wa nje

Soma na hizi

Tupia Comments