Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Meneja wa Alikiba azungumzia Tour ya London

on

Alikiba ni moja kati ya wanamuziki wanaofanya vizuri Afrika ambapo kutokana na kukubalika kwake kimuziki amepata nafasi ya kufanya ziara nyingi za kimuziki sehemu mbalimbali Duniani.

Kwenye Ayo TV na millardayo.com ni Christen ‘Seven’ Mosha ambaye ni Meneja wa Alikiba akizungumzia kuhusu tour kadhaa za kimuziki za staa huyo wa ‘Aje’ na namna zilivyofanikiwa.

Unaweza kuyapata mengi zaidi kwa ku-play video hii hapa chini kisha baada ya kuyapata mazuri kutoka kwake usisahau kunidondoshea comment mtu wangu ili Seven Moshaakipita hapa aone>>>

Bonyeza Play hapa chini kumsikia Meneja wa Alikiba..

EXCLUSIVE: Steve Nyerere afunguka tofauti yake na Mama Wema Sepetu (+Video)

Soma na hizi

Tupia Comments