Inawezekana hili lilikua ni swali lako pia, kwasababu Alikiba ni Muislamu na inaruhusiwa kuwa na Wake wanne, je Mkewe Amina atakua tayari Alikiba akimwambia anataka kuongeza mke wa pili? tazama majibu kwenye hii video fupi hapa chini kwa hisani ya LEO TENA, CloudsFM #AlikibaDAY
VIDEO: EXCLUSIVE NA JUX: “Vanessa Mkristo, Mimi Muislamu, hatuoani………” mtazame zaidi hapa chini