Michezo

Beki wa Barcelona, kocha wake kwenye mkataba mpya

on

baca

Baada ya Barcelona kutwaa mataji matatu ya La Liga, Copa de Rey na ligi ya mabingwa Ulaya sasa wamekuja na mikakati yao tayari kwa ajili ya msimu mpya.

Tayari Barcelona imesaini mkataba mwingine mpya na Kocha wake, Luis Enrique, ambao sasa utaisha mwaka 2017.

alv

Kabla ya hapo, Barcelona ilimuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake Dani Alvez pia ikamsajili beki mpya Aleix Vidal ili kuisaidia timu hiyo.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

 

Tupia Comments