Kesi ya mauaji ya mwanafunzin wa Shule ya Sekondari Scolastika Humphrey Makundi imeendelea kuunguruma katika Mahakama Kuu Kanda ya Moshi huku Baba wa Marehemu akijibizana vikali na Mawakili wa upande wa utetezi kiasi cha kumwaga machozi wakati akito ushahidi wake.
KAMANDA AZUNGUMZIA KUZUIA MKUTANO WA ZITTO KABWE “WALITAKA KULIPIZA KISASI”