Amplifaya ni show ambayo ipo Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on CLOUDS FM ambayo inahusika kuzihesabu habari 10 kubwa za siku kutoka kwenye siasa, muziki, michezo, movies, maisha na mengine na inasimamiwa na mtu wako wa nguvu Millard Ayo.
#AMPLIFAYA #Aug4 #10 Msuva: ‘Nimeshindwa kwenda kucheza soka la kulipwa South Africa, sababu pekee ni timu iliyonitaka kushindwa kufika bei’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug42015 #9 Mwimbaji Linex: ‘Chaguo langu siwezi kutaja ila naamini Watanzania 70% au 80% ya Watanzania hawakumtarajia Magufuli’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug4 #8 Mwigizaji Ernest Napoli >> ‘movie ya #GoingBongo imegharimu zaidi ya milioni 500, imefanyika U.S na TZ kwa 2yrs’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug42015 #7 Jerry Silaa: ‘Kwa haki ya mwenyenzi Mungu sijampa Mwanachama wa CCM hata shilingi moja kunichagua’ #UbungeUkonga
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA Aug4 #6 Kafulila: ‘Nilikwenda kuhiji Israel nikapiga magoti baada ya kutishiwa maisha kesi ya Escrow, namshukuru Mungu niko hai’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug4 #5 Nadir Haroub Cannavaro: ‘Kuhamia kwangu Al Ahly kuliishia juujuu baada ya kocha wao kufukuzwa, pia Yanga ilitaka M200’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug42015 #4 Edward Lowassa: ‘Nimeridhika na CHADEMA, TANU ilipewa kuongoza nchi ikiwa na miaka 7, CHADEMA ina miaka 23 leo’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA Aug4 #3 Mbowe: ‘WanaUKAWA Hatuna haki ya kuwahukumu kina Lowassa na wengine waliojiunga, tuwakaribishe ndoto ya taifa itimie’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug42015 #2 John Magufuli: ‘Shida za Watanzania ninazijua, hawataki vikero ovyoovyo, Mama Ntilie, bodaboda wanasumbuliwa’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015
#AMPLIFAYA #Aug42015 #1 Rais JK: ‘Wanaodhani CCM ni chama cha mchezo watakiona, watu wamekua na tamaa tu, mwingine ana tamaa iliyokithiri’
— millard ayo (@millardayo) August 4, 2015