Ni time ya kufahamu kwa ufupi stori zilizofanikiwa kumiliki namba 10 za Amplifaya Jumatano hii… kwenye countdown ambayo husikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku mpaka saa tatu on @CloudsFM.
#AMPLIFAYA #Feb182015 #10 Miss Universe 2011 Nelly Kamwelu athibitisha yupo chuo cha Uigizaji New York Marekani, ni masomo ya mwaka mmoja
— millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #9 Aslay atimiza ndoto yake kwenda U.K, ni baraka za wazazi wake aliowasaidia kujenga nyumba na kuwapa mtaji. — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb18 #8 Wabunge Waislamu UG wafutilia mbali uwezekano wa mabaki ya mwili wa Idi Amin kufukuliwa Saudi Arabia na kuzikwa Ug
— millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #7 Waganga Uganda wakutana hadharani Kampala na kumtawaza mganga mkuu aitwae Mama Fina ataewaongoza kwa miaka mitano. — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #6 Beach 15 zenye mvuto duniani, Afrika ni mbili tu ambazo ni Anse Lazio Shelisheli na Camp Bay Beach, South Africa. — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #5 Bodi ya Filamu Tanzania wanakwambia kwa mwezi wanapokea Filamu mpya za TZ kati ya Arobaini mpaka mia moja. — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #4 @OmmyDimpoz ‘Bado Mubenga ni meneja wangu, sijagombana nae, kukwaruzana kibinaadamu ni kitu cha kawaida’ — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #3 Jengo refu kuliko yote Mwanza linamalizika 2016, ni la ghorofa 15 Capri point, gharama ni zaidi ya BILIONI 72. — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb182015 #2 Ni kawaida kumuona mtu hana mkono au mkono wake umekatwa huko Meru Kenya, chochote utachoiba Wananchi wanakukata. — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
#AMPLIFAYA #Feb18 #1 Vikosi vya Polisi na magari ya mapambano vimezidi kusogezwa eneo la Mapango kupambana na kundi la Wahalifu Tanga. #ITV — millardayo.com (@millardayo) February 18, 2015
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook