Amplifaya ni show inayosikika Clouds FM kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa 1 usiku ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi za siku za kisiasa, muziki, michezo na mengine mengi ya maisha.
Msanii wa Burundi aitwae Lolilo asema ‘Diamond hakunitoza pesa yoyote kurekodi nae nyimbo 2, Mungu ndio atamlipa’ #AMPLIFAYA #Jan62015 #10
— millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Mwanamitindo Mtz Herieth aishie New York asema ‘kazi nyingine sasa hivi hupati mpaka uwe na followers elfu 50 insta’ #AMPLIFAYA #Jan62015 #9 — millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Mmarekani T.Silverstein anashikilia rekodi ya kukaa mwenyewe muda mrefu akiwa ametengewa sehemu gerezani tangu 1983 #AMPLIFAYA #Jan62015 #8
— millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
@shaffihdauda1 aunga mkono wazo la KADI NYEUPE kwenye soka, asema ‘kila kitu kina faida na hasara, tuwasikilize UEFA’ #AMPLIFAYA Jan62015 #7 — millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Tajiri Mmarekani Thomas Gilbert (70) ameuwawa na mtoto wake (30) aliyetaka kupewa posho yake ya laki 3 elfu 45 Tsh. #AMPLIFAYA #Jan62015 #6
— millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Mpaka mwishoni mwa mwaka 2015 China inataka kuwa na viwanja 230 vya ndege kutoka 175 mwaka 2010. #AMPLIFAYA #Jan62015 #5 — millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Ubelgiji yasema haitomchoma sindano ya sumu mtuhumiwa wa ubakaji aliyependekeza achomwe ili afe haraka. #AMPLIFAYA #Jan62015 #4
— millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Bomba la maji taka chanzo ‘Rock City shopping mall’ Mwanza haikufunguliwa Dec 2014, huenda pia ikapewa jina la JK #AMPLIFAYA #Jan62015 #3 — millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Kama hufahamu, May2015 ndio vyama vya siasa vinatarajiwa kuanza uteuzi wa majina kupata wagombea wakiwemo wa Urais #AMPLIFAYA Jan62015 #Jan6
— millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Kanisa la Mennonite Tabora lasema aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka hakuwa Mwinjilisti wao, ni muumini tu. #AMPLIFAYA #Jan62015 #1 — millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Stori zote 10 kubwa za siku utakua ukizipata hapa twitter na facebook J3 – Ijumaa kwa nguvu ya @VodacomTanzania na @fastjet mtu wangu ! — millardayo.com (@millardayo) January 6, 2015
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook