Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maamuzi ya Saudi Arabia kuhusu wanawake kuingia katika viwanja vya mpira wa miguu
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Maamuzi ya Saudi Arabia kuhusu wanawake kuingia katika viwanja vya mpira wa miguu
Top Stories

Maamuzi ya Saudi Arabia kuhusu wanawake kuingia katika viwanja vya mpira wa miguu

January 8, 2018
Share
1 Min Read
Saudi women arrive at a stadium for the first time to attend an event in the capital Riyadh on September 23, 2017 to commemorate the anniversary of the founding of the kingdom. The presence of women at the King Fahd stadium marks a departure from previous celebrations in the Gulf kingdom where they are effectively barred from sports arenas by strict rules on public segregation of the sexes. / AFP PHOTO / Fayez Nureldine (Photo credit should read FAYEZ NURELDINE/AFP/Getty Images)
SHARE

Leo January 8, 2018 nimeipata hii kutoka Falme za Kiarabu ambapo Wanawake wataruhusiwa kuanzia mwezi huu kuhudhuria kwenye michezo ya kandanda ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya Saudi Arabia.

Maafisa wa Saudi Arabia wamesema kuwa mashabiki wa kandanda wanawake wataanza kuingia katika viwanja vya mpira katika taifa hilo kuangalia michezo mitatu inayohusisha timu zinazoshiriki ligi ya nchi hiyo katika mechi ya Ijumaa, Jumamosi na January 18, 2018.

October 2017, idara inayohusika na masuala ya michezo ya Saudi Arabia ilitangaza kufikia 2018 viwanja vitatu ambavyo vilikuwa vinatumika na wanaume tu vitaandaliwa kwa ajili ya kutumiwa pia na wanawake ikiwa ni pamoja na kuwa na maeneo maalumu ya kukaa.

Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman  ameondoa marufuku ya wanawake kujihusisha na mchezo wa kandanda, wakati akijaribu kurudisha heshima ya nchi hiyo kimataifa.

GOOD NEWS ALIYOITANGAZA MBWANA SAMATTA LEO

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo January 8, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoMPYA: OMG wametuletea hii ya kuitazama time hii wamemshirikisha Rosa Ree
Next Article PICHA 24: Mitaa ya jiji la DSM baada ya mvua kunyesha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?