Ajali

Kilichonifikia kutoka Monduli Arusha kuhusu ajali ya moto shuleni…

on

January 28 2016 inakuwa siku nyingine inayobeba vichwa vya habari kuhusu ajali, hatujasahau kuhusu kuzama kivuko cha Kilombero Morogoro, inanifikia nyingine kuhusu kuteketea kwa majengo ya Shule ya Sekondari iliyopo Arusha.

33a6b2c1-edd5-4769-84e1-6afc3e391a23

Ajali hiyo ya moto imesababisha kuteketea kwa jengo la bweni shule ya Sekondari ya Edward Lowassa iliyopo Monduli Arusha… vitu vya wanafunzi vimeteketea na shule imelazimika kutoa likizo kwa muda.

Hizi hapa picha nyingine toka kwenye shule hiyo.

 63ecab3a-2e7a-4e5d-8e62-fecd7baec2e8 68851b89-35f2-4065-8166-96294cc01e4d a8d344d0-6f77-479c-af67-c3e1f6616beb AoyALkVj4s4qFR4KEXRtLmWsZwp09mBq1wPs1NqKpLu4 cd68c18f-c52c-42f3-a115-0a1c372e0a7c

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments