Leo July 10, 2017 kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kulikuwa na kusikilizwa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili muigizaji Wema Sepetu na wenzake hadi, ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi August 1, 2017.
Wema Sepetu na mama yake walivyowasili Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya kukutwa na dawa za kulevya kabla ya kuahirishwa hadi August 1. pic.twitter.com/yEtOc69LHX
— millardayo (@millardayo) July 10, 2017
Kesi hiyo imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa serikali, Estezia Wilson kusema Hakimu anayesikiliza kesi hiyo hayupo, Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi Agosti 1, mwaka huu ambapo itasikilizwa tena.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu na wenzake hadi August 1 mwaka huu. pic.twitter.com/jZjBB2bUlm
— millardayo (@millardayo) July 10, 2017
VIDEO: Ulipitwa na Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa Jay? Bonyeza play katazama