Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE TAKUKURU imesema iko ktk hatua za mwisho kukamilisha uchunguzi dhidi ya waliokuwa wakurugenzi wa idara sita za NSSF pic.twitter.com/yPdsX1khtx
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#NIPASHE TAMWA imetoa takwimu kuwa watu 1,580 walifariki kwa ajali kuanzia Jan hadi July mwaka huu ikiwa ni wastani wa watu 7 kila siku pic.twitter.com/HfRSMyepjR
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MTANZANIA IPTL yajivua zigo la Escrow, yaungana na TANESCO kuirarua Chartered, yapinga mkakati wa kunyang'anywa mtambo pic.twitter.com/JZq0dRaKJV
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MTANZANIA Zaidi ya wanawake 270 wamefariki dunia Katavi ktk kipindi cha mwaka 2015/16 kutokana na vifo vinavyotokana na uzazi pic.twitter.com/hP0JW4BU3T
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#JamboLEO Kamati ya utendaji ya CUF yaitisha kikao cha baraza kuu la uongozi kujadili ushauri wa msajili na kumwita Lipumba akajieleze pic.twitter.com/42uKy5A39P
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#HabariLEO Jarida la Forbes limezitaja ndege aina ya Bombardier Q400 ambazo TZ imezinunua kuwa ni zenye usalama, zinatumia mafuta kidogo pic.twitter.com/wikSBvEgyb
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MWANANCHI Serikali imekataa mapendekezo 72 kati ya 227 yaliyotolewa na mataifa wanachama wa umoja wa mataifa likiwemo hali ya kisiasa Z'bar pic.twitter.com/bbtiXKDHzB

#MWANANCHI Wastaafu Serikali kuu kulipwa pensheni kila mwezi badala ya kila baada ya miezi mitatu pic.twitter.com/2UOLLjovqL
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MWANANCHI TANAPA na TRA Arusha wanatarajia kukusanya bil 617.4 kwa mwaka wa fedha 2016/17 pic.twitter.com/ho45TwdL2c
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MTANZANIA NSSF yatoa mkopo wa bil 3.7 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusagisha nafaka na kukamua mafuta ya alizeti Dodoma pic.twitter.com/pMZQ8XIBsH
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#NIPASHE Bao pekee la mshambuliaji, Pastory Athanas limetosha kuipa Stand United ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga pic.twitter.com/v6sLLg5HLf
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MWANANCHI Kocha wa Yanga, Pluijm amepania kufumua kikosi chake ili kukitengeneza imara kuikabili Simba jumamosi wiki hii pic.twitter.com/oCXPANh6W9
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#CHAMPIONI Ajibu abakiza miezi michache kukamilisha mkataba wake Simba, asisitiza hana mpango wa kuendelea kucheza soka la bongo kwa sasa pic.twitter.com/niVWUJX0WZ
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
#MWANANCHI Wabunge Yanga waibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Simba ktk mechi ya kuchangia waathirika wa tetemeko, mil 187 zapatikana pic.twitter.com/mgOMAdk1AK
— millardayo (@millardayo) September 26, 2016
ULIKOSA HII YA PROF LIPUMBA KUYAONNGEA HAYA YA KUINGIA MAKAO MAKUU YA CUF? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI