Premier Bet
TMDA Ad

Duniani

PICHA 10: Ijue top 10 ya wacheza mieleka matajiri zaidi duniani

on

Mtu wa nguvu najua utakua umeshajua orodha nyingi ya  matajiri wa michezo ambayo nimeshawahi kukuletea hapa ila leo September 26 2016 nakuletea list ya mastar ya mchezo wa mieleka.

Wengi tumekuwa tukiufuatilia mchezo huu ambao umekuwa maarufu zaidi kutokana na aina ya uchezaji wake na mwisho wa siku mchezo huu umekuwa ukiwaingizia mkwanja mrefu. Leo nakusogezea hii list ya wachezaji mieleka 10 matajiri zaidi duniani.

Na hii ndio list ya wacheza mieleka 10 matajiri Duniani

10. Mark Calaway a.k.a The Undertaker ($16 million Zaidi ya Tsh bil 34)

1200-1024x683

9. Shawn Michaels ($17 million zaidi ya Tsh bil 37)

sue411_shawn_michaels-1024x576

8. Chris Jericho ($18 million zaidi ya Tsh bil 39)

063_raw_09012014mm_0325-2538468490-1424615886-1024x576

7. Paul Randall Wight a.k.a Big Show ($19 million zaidi ya Tsh bil 41)

7

6. Kurt Angle ($20 million zaidi ya Tsh bil 43)

6

5. Paul Levesque a.k.a Triple H ($25 million zaidi ya Tsh bil 54)

5

4. John Cena ($35 million zaidi ya Tsh bil 76)

4

3. Steve Austin a.k.a Stone Cold ($45 million zaidi ya Tsh bil 98)

3

2. Hulk Hogan ($100 million zaidi ya Tsh bil 217)

2

1. Dwayne Johnson a.k.a The Rock ($250 million zaidi ya Tsh bil 544)

1

ULIKOSA HII YA CHID BENZ ALIVYOMPANDISHA MAMA YAKE JUKWAANI MAISHA CLUB? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments