Mtu wangu inawezekana umekuwa ukishuhudia namna askari wa polisi wakikamata watuhumiwa au inawezekana umekuwa ni mmoja wao waliokamatwa, Ayo TV imepiga stori na mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole ambaye anaeleza utaratibu wa kufuatwa pindi unapokamatwa na polisi………..
>>>’mtu anayekuwa chini ya ulinzi lazima aambiwe anatuhumiwa kwa kosa lipi yale ya kusema utajua makosa yako polisi sio sahihi sheria inatoa mwongozo kuwa uko chini ya ulinzi unatuhumiwa kwa kosa lipi, lakini pia lazima uambiwe unapelekwa kituo gani cha polisi na upewe fursa ya kuwasiliana na ndugu zako ili wajue’.
>>>’kuna watu ambao kwa sifa yao wanajulikana wana mali zisizohamishika haihitaji kukamata kwa kutumia nguvu apigiwe simu aje atatoa ripoti’
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA HII YA ASKARI WASIOTOA HESHIMA YA ‘SALUTI; IKIWEMO KWA WABUNGE KUPEWA ADHABU? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE