Moja kati ya stori ambazo nimekutana nazo ni wazo la umoja wa vijana wa Afrika Mashariki kupitia Youth Platform kuwa wanampango wa kuomba Bunge la Afrika Mashariki lishauri au kupendekeza nchi wanachama wake kuongeza muda wa uchaguzi kuwa mwaka mmoja.
Lengo likiwa wananchi wapate nafasi ya kuwafahamu vizuri wagombea wao lakini sambamba na kuwapa wapinzani watakaopata asilimia chache nafasi katika kuunda serikali, Ayo TV imekutana na baadhi ya wabunge na wanaharakati nakuuliza maoni yao kuhusiana na wazo hilo.
AyoTVMAGAZETI: Polisi na raia watwangana, Kaburi la Faru John layeyuka