Ad

Mix

VideoFUPI: Rais Magufuli alivyoirudia mistari ya wimbo wa ‘Muziki’ wa Darassa

on

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli amekuwa akisifika kutokana na utendaji kazi wake lakini pia ni moja kati ya viongozi ambao wanaweza kuongea na wananchi na kuchombeza na maneno ya utani.

Licha ya kuwa Rais Magufuli ni mtu makini na mkali kwa watumishi wasiotekeleza majukumu yao lakini alifurahisha umati wa watanzania alipokuwa akiongea nao na kugusia wimbo wa ‘Muziki‘ wa Darassa katika sehemu ya hotuba zake kwa kunukuu mistarii miwili mitatu.


VIDEO: Rais Magufuli ampigia simu Neema na kuongea nae kwenye loud speaker

Soma na hizi

Tupia Comments