Stori kubwa iliyo make headline December 9, 2017 ilikuwa ni kitendo cha President JPM kutoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali nchini kote na kilichowashangaza wengi ni kuwasamehe wafungwa waliohukumiwa kifungo cha maisha na kunyongwa.
Millardayo.com na AyoTv bado tunaye Mzee Mtalikdonga ambaye alifungwa gerezani akiwa na umri wa miaka 12 na ameachiwa kwa msamaha wa Rais JPM akiwa na umri wa miaka 52.
Leo Mzee wa Mtalikidonga anaelezea vitu vilivyomshangaza baada ya kutoka gerezani na kufika uraiani, Bonyeza play hapa chini kumtazama
“SIMJUI MWANAMKE, NILIFUNGWA JELA NIKIWA NA MIAKA 12, NIMEACHIWA JUZI NA JPM NIKIWA NA MIAKA 52” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA