NI Headlines za msanii kutokea Bongo Flevani Harmonize ambae time hii ametuletea Ushamba Remix akiwa na msanii wa Nigeria Naira Marle, ukaisikiliza kisha usisahau kuandika lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.
HARMONIZE KAFUNGUKA WANAOSEMA HAJUI KUONGEA KINGEREZA ‘NIMEISHIA FORM 3/USHAMBA WIMBO BORA KWASASA’