social network

Aunty Ezekiel kayathibitisha tena mapenzi yake kwa Mose Iyobo na mtoto wao

on

auntezekiel4

Wengi sasa hivi tunafahamu ya kuwa Aunt Ezekiel ni mama wa mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Cookie, baba wa mtoto huyo ni moja ya dancers wa Diamond Platnumz, ambaye anaitwa Mose Iyobo.

Muda mfupi uliopita staa huyu wa Bongo Movie ameweka picha @Instagram, amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake.

>>> “Sababu ya kuishi, kupumua, kupambana na mafanikio, kupenda na kuumia, kusahau na kusamehe. Sababu ya mimi kuwepo ni wao. Eeehh Mungu! nibariki mimi na wapendwa wangu wawili. Na kwa haya nashukuru. HAPPY 40 DAYS MY WORLD…….@cookie_la_princessa_iyobo”<<<Baada ya maneno hayo ameweka picha hii.

AUTNY

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments