Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso, ameagiza kushikiliwa kwa Wahandisi watatu wa maji, ambao ni aliyekuwa Meneja wa mradi Michael John, Mhandisi mshauri Mnandi na Nuhu Malando, kwa kosa la kuhujumu vifaa vya miundombinu ya mradi wa maji Lamadi.