Videos

VideoMPYA: AY anakualika kuitazama hii inaitwa ‘El Chapo’

on

Ni time nyingine tena ya kuipokea burudani kutoka kwa mkali wa bongo flava Ambwene Yesaya ‘AY’ ambaye anakualika leo August 13 kuutazama huu mdundo wake mpya alioupa jina la ‘El Chapo ‘ ukimaliza kuitazama itakuwa poa ukidondosha comment yako chini kutolea maoni yako ili baadae apite kuzisoma.

ULIIKOSA HII EXCLUSIVE YA AY KUHUSU DIAMOND KWENYE ZIGO REMIX

Soma na hizi

Tupia Comments