Mix

Mambo makubwa 18 CHADEMA imezungumza mbele ya Wanahabari leo

on

Leo July 31, 2017 Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ kupitia Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe imekutana na Waandishia wa Habari katika mkutano uliofanyika Dar es Salaam.

Katika mkutano huo, CHADEMA imetoa taarifa ya maazimio baada ya Kamati Kuu ya Chama hicho kukutana kwa siku mbili mfululizo July 29-30, 2017 katika Hotel ya Double Tree, Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali na kufikia maazimio na hatua za kuchukua katika ajenda zao.

ULIPITWA? Tundu Lissu afunguka ishu ya kutaka kupimwa mkojo na mengine…play kwenye video hii!

Soma na hizi

Tupia Comments